-
Luka 8:41Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
41 Lakini, tazama! mwanamume aitwaye jina Yairo akaja, na mtu huyu alikuwa ofisa-msimamizi wa sinagogi. Naye akajiangusha miguuni pa Yesu akaanza kumsihi sana aingie katika nyumba yake,
-