-
Luka 9:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Tazama! roho mwovu humshika, naye hupiga kelele ghafla, na humfanya agaegae na kutokwa na povu mdomoni, naye hamtoki upesi mpaka anapomjeruhi.
-
-
Luka 9:39Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
39 na, tazama! roho humchukua, na kwa ghafula yeye hupaaza kilio, na huyo roho humtupa katika mifurukuto pamoja na povu, naye hamwachi kabisa baada ya kumchubua.
-