-
Luka 9:39Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
39 na, tazama! roho humchukua, na kwa ghafula yeye hupaaza kilio, na huyo roho humtupa katika mifurukuto pamoja na povu, naye hamwachi kabisa baada ya kumchubua.
-