-
Luka 10:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa maana nawaambia nyinyi, Manabii na wafalme wengi walitamani kuyaona mambo ambayo nyinyi mnayaona lakini hawakuyaona, na kuyasikia mambo ambayo nyinyi mnayasikia lakini hawakuyasikia.”
-