-
Luka 11:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Wakati umati ulipokuwa ukisongamana pamoja, yeye alianza kusema: “Kizazi hiki ni kizazi kiovu; hutafuta ishara. Lakini hakuna ishara kitakayopewa ila ishara ya Yona.
-