-
Luka 12:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Ndipo yeye akawaambia: “Fulizeni kufungua macho yenu na mlinde dhidi ya kila namna ya tamaa, kwa sababu hata wakati mtu ana wingi uhai wake hautokani na vitu alivyo navyo.”
-