-
Luka 13:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Hapo ndipo kutoa machozi kwenu na kusaga meno yenu kutakuwa, wakati mwonapo Abrahamu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, lakini nyinyi wenyewe mkiwa mmetupwa nje.
-