-
Luka 13:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Yerusalemu, Yerusalemu, muuaji wa manabii na mpigaji kwa mawe wa hao waliotumwa kwake—ni mara nyingi kadiri gani nilitaka kukusanya watoto wako pamoja kwa namna ambayo kuku hukusanya makinda yake ya vifaranga chini ya mabawa yake, lakini nyinyi watu hamkutaka hilo!
-