-
Luka 14:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Naye akawaambia: “Ni nani kati yenu, ikiwa mwana wake au fahali aanguka ndani ya kisima, hatamtoa nje mara hiyo siku ya sabato?”
-