-
Luka 15:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Baadaye, baada ya siku zisizokuwa nyingi, huyo mwana aliye kijana zaidi alikusanya pamoja vitu vyote akasafiri nchi ya nje akaingia katika nchi ya mbali, na huko akafuja mali yake kwa kuishi maisha ya ufasiki.
-