-
Luka 15:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Naye alitamani kujishibisha kwa maganda ya karuba ambayo nguruwe walikuwa wakila, lakini hakuna mtu aliyempa chochote.
-
-
Luka 15:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Naye alikuwa na kawaida ya kutamani kushibishwa kwa matumba ya mkarobu ambayo hao nguruwe walikuwa wakila, na hakuna yeyote aliyekuwa akimpa kitu chochote.
-