-
Luka 15:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 “Aliporudiwa na fahamu akasema, ‘Baba yangu ameajiri wafanyakazi wengi nao wana mkate kwa wingi, lakini mimi ninakufa njaa!
-
-
Luka 15:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 “Aliporudiwa na fahamu zake, alisema, ‘Ni wanaume wangapi walioajiriwa wa baba yangu ambao wanazidi katika kuwa na mkate, na huku mimi ninaangamia hapa kutokana na njaa kali!
-