-
Luka 16:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Akasema, ‘Vipimo mia vya bathi vya mafuta ya mzeituni.’ Akamwambia, ‘Chukua tena hati yako ya mapatano na uketi uandike upesi hamsini.’
-