-
Luka 16:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa sababu hiyo yeye akawaambia: “Nyinyi ni wale mjitangazao wenyewe kuwa waadilifu mbele ya macho ya wanadamu, lakini Mungu aijua mioyo yenu; kwa sababu kilichoinuka sana miongoni mwa wanadamu ni kitu chenye kuchukiza sana machoni pa Mungu.
-