-
Luka 18:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Nawaambia nyinyi, Mtu huyu aliteremka kwenda nyumbani kwake akiwa amethibitishwa mwadilifu zaidi kuliko mtu yule; kwa sababu kila mtu ajikwezaye mwenyewe atatwezwa, bali yeye ajinyenyekezaye atakwezwa.”
-