-
Luka 20:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Ndipo akaanza kuwaambia watu kielezi hiki: “Mtu alipanda shamba la mizabibu akalikodisha kwa walimaji, naye akasafiri nchi ya nje muda mrefu.
-