-
Luka 20:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Waandishi na makuhani wakuu sasa wakatafuta sana kunyoosha mkono ili wamshike saa hiyohiyo, lakini waliwahofu watu; kwa maana walifahamu kwamba yeye alisema kielezi hicho akiwafikiria wao.
-