-
Luka 21:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 nao wataanguka kwa makali ya upanga na kuchukuliwa mateka ndani ya mataifa yote; na Yerusalemu litakanyagwa-kanyagwa na mataifa, hadi nyakati zilizowekwa rasmi za mataifa ziwe zimetimizwa.
-