-
Luka 22:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Akawaambia: “Tazameni! Mwingiapo katika jiji mwanamume mwenye kuchukua chombo cha udongo cha maji atakutana nanyi. Mfuateni mwingie katika nyumba ambayo katika hiyo yeye aingia.
-