-
Luka 22:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Pia, kikombe kwa njia ileile baada ya wao kula mlo wa jioni, yeye akisema: “Kikombe hiki chamaanisha agano jipya kwa msingi wa damu yangu, ambayo yapasa kumwagwa kwa ajili yenu.
-