-
Luka 22:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Kwa maana ni yupi aliye mkubwa zaidi, yule anayeegama kwenye meza au yule anayehudumu? Je, si yule anayeegama kwenye meza? Lakini mimi nimo katikati yenu kama yule anayehudumu.
-