-
Yohana 1:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Kwa hiyo Neno akawa mwili na akakaa miongoni mwetu, nasi tukapata kutazama utukufu wake, utukufu kama ule ulio wa mwana mzaliwa-pekee kutoka kwa baba; naye alikuwa mwenye kujaa fadhili isiyostahiliwa na kweli.
-