-
Yohana 4:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Je, wewe ni mkuu kuliko babu yetu Yakobo, aliyetupatia kisima hiki ambacho yeye pamoja na wanawe na mifugo yake walikunywa maji yake?”
-
-
Yohana 4:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Wewe si mkubwa zaidi kuliko baba yetu wa zamani Yakobo, ambaye alitupa hiki kisima na ambaye yeye mwenyewe pamoja na wana wake na mifugo yake walikunywa kutokana nacho, ndivyo?”
-