-
Yohana 4:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Wewe si mkubwa zaidi kuliko baba yetu wa zamani Yakobo, ambaye alitupa hiki kisima na ambaye yeye mwenyewe pamoja na wana wake na mifugo yake walikunywa kutokana nacho, ndivyo?”
-