-
Yohana 8:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa hiyo Yesu akawaambia tena, akisema: “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Yeye anifuataye mimi hatatembea kwa vyovyote katika giza, bali atakuwa na nuru ya uhai.”
-