-
Yohana 8:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Ninajua kwamba ninyi ni uzao wa Abrahamu. Lakini mnataka kuniua, kwa sababu neno langu halifanyi maendeleo kati yenu.
-
-
Yohana 8:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Mimi najua kwamba nyinyi ni uzao wa Abrahamu; lakini mnatafuta sana kuniua, kwa sababu neno langu halifanyi maendeleo miongoni mwenu.
-