-
Yohana 8:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Mimi najua kwamba nyinyi ni uzao wa Abrahamu; lakini mnatafuta sana kuniua, kwa sababu neno langu halifanyi maendeleo miongoni mwenu.
-