-
Yohana 12:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Kwa hiyo umati ukamjibu: “Sisi tulisikia kutoka Sheria kwamba Kristo hudumu milele; nawe ni jinsi gani wasema kwamba lazima Mwana wa binadamu ainuliwe juu? Huyu Mwana wa binadamu ni nani?”
-