-
Yohana 12:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Kwa hiyo Yesu akawaambia: “Nuru itakuwa miongoni mwenu kwa muda kidogo zaidi. Tembeeni wakati nyinyi mna nuru, ili giza lisiwazidi nguvu; naye ambaye hutembea katika giza hajui anakoenda.
-