-
Yohana 15:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Kaeni katika muungano nami, na mimi katika muungano nanyi. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa matunda likiwa pekee isipokuwa likae katika mzabibu, katika njia hiyohiyo wala nyinyi hamwezi, isipokuwa mkae katika muungano nami.
-