-
Yohana 15:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Mimi ndio mzabibu, nyinyi ndiyo matawi. Yeye ambaye hukaa katika muungano nami, na mimi katika muungano naye, huyu huzaa matunda mengi; kwa sababu bila mimi hamwezi kufanya lolote hata kidogo.
-