-
Yohana 17:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 kwa sababu semi ulizonipa nimewapa wao, nao wamezipokea na hakika wamekuja kujua kwamba nilitoka nikiwa mwakilishi wako, nao wameamini kwamba wewe ulinituma.
-