-
Yohana 21:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Akamwambia mara ya tatu: “Simoni mwana wa Yohana, je, una shauku na mimi?” Petro akatiwa kihoro kwamba alimwambia mara ya tatu: “Je, una shauku na mimi?” Kwa hiyo yeye akamwambia: “Bwana, wewe wajua mambo yote; wewe wajua kwamba mimi nina shauku na wewe.” Yesu akamwambia: “Lisha kondoo wangu wadogo.
-