-
Yohana 21:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Alipogeuka huku na huku Petro alimwona mwanafunzi ambaye Yesu alikuwa na kawaida ya kumpenda akifuata, yule ambaye kwenye mlo wa jioni alikuwa pia ameegama nyuma juu ya kifua chake akasema: “Bwana, ni nani anayekusaliti?”
-