-
Matendo 2:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini Petro akasimama pamoja na wale kumi na mmoja na kuinua sauti yake na kufanya tamko hili kwao: “Wanaume wa Yudea nanyi nyote wakaaji wa Yerusalemu, acheni hili lijulikane kwenu nanyi tegeni sikio kwenye semi zangu.
-