-
Matendo 4:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 acheni ijulikane kwenu nyote na kwa watu wote wa Israeli, kwamba katika jina la Yesu Kristo Mnazareti, ambaye nyinyi mlimtundika mtini lakini ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, kwa yeye mtu huyu asimama hapa akiwa timamu mbele yenu.
-