-
Matendo 4:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Zaidi ya hayo, umati wa waliokuwa wameamini ulikuwa na moyo na nafsi moja, na hakuna hata mmoja aliyekuwa akisema kwamba chochote cha vitu vilivyokuwa miliki yake kilikuwa chake mwenyewe; bali walikuwa na vitu vyote shirika.
-