-
Matendo 5:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kwa hiyo Petro akamwambia: “Kwa nini mlikubaliana kati yenu wawili kuijaribu roho ya Yehova? Tazama! Miguu ya wale waliozika mume wako ipo mlangoni, nao watakubeba kukupeleka nje.”
-