-
Matendo 5:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 hivi kwamba wakawaleta wagonjwa nje hata katika zile njia pana na kuwalaza huko juu ya vitanda vidogo na machela, ili, wakati Petro apitapo hapo, angalau kivuli chake kipate kuanguka juu ya mtu fulani kati yao.
-