-
Matendo 7:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Zaidi ya hayo, Mungu alisema kama hivi, kwamba mbegu yake wangekuwa wakazi wa kutoka nchi nyingine katika nchi ya ugenini na wale watu wangewafanya watumwa na kuwataabisha kwa miaka mia nne.
-