-
Matendo 7:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 “Alimpa pia agano la tohara; na hivyo akawa baba ya Isaka na kumtahiri siku ya nane, na Isaka baba ya Yakobo, na Yakobo baba ya vile vichwa vya familia kumi na viwili.
-