-
Matendo 7:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 naye akamkomboa kutoka katika dhiki zake zote na kumpa wema na hekima mbele ya macho ya Farao mfalme wa Misri. Naye akamweka rasmi aongoze Misri na nyumba yake yote.
-