-
Matendo 7:43Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
43 Bali ni hema la Moloki na nyota ya mungu Refani ambavyo nyinyi mlichukua, maumbo ambayo nyinyi mliyafanya ili kuyaabudu. Kwa sababu hiyo hakika mimi nitawahamisha nyinyi ng’ambo ya Babiloni.’
-