-
Matendo 7:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Ni yupi kati ya manabii ambaye baba zenu wa zamani hawakumnyanyasa? Ndiyo, waliwaua wale waliofanya tangazo kimbele kuhusu kuja kwa Aliye mwadilifu, ambaye nyinyi sasa mmekuwa wasaliti na wauaji-kimakusudi wake,
-