-
Matendo 9:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Lakini wote wale wenye kumsikia wakaingiwa na mshangao nao wakawa wakisema: “Je, huyu si yule mtu aliyewaharibu kabisa wale walio katika Yerusalemu waitiao jina hili, na aliyekuwa amekuja hapa kwa kusudi hilihili, ili apate kuwaongoza wakiwa wamefungwa hadi kwa makuhani wakuu?”
-