-
Matendo 10:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Basi Kornelio akasema: “Siku nne zilizopita kuhesabu kutoka saa hii nilikuwa nikisali katika nyumba yangu kwenye saa ya tisa, wakati, tazama! mwanamume aliyevaa vazi jangavu aliposimama mbele yangu
-