-
Matendo 10:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Kwa hiyo mara moja nikatuma watu kwako, nawe ukafanya vema kuja hapa. Na kwa hiyo wakati huu sisi tupo sote mbele ya Mungu kuyasikia mambo yote ambayo umeamriwa na Yehova kusema.”
-