-
Matendo 13:39Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
39 na kwamba kutokana na mambo yote ambayo nyinyi hamngeweza kutangazwa kuwa bila hatia kwa njia ya sheria ya Musa, kila mtu aaminiye atangazwa kuwa bila hatia kwa njia ya Huyu.
-