-
Matendo 14:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 na kusema: “Wanaume, kwa nini mnafanya mambo haya? Sisi pia ni wanadamu wenye udhaifu uleule kama nyinyi mlivyo nao, nasi tunawatangazia nyinyi habari njema, ili mgeuke kutoka kwa mambo haya ya bure mmjie Mungu aliye hai, aliyefanya mbingu na dunia na bahari na vitu vyote vilivyo ndani yazo.
-