-
Matendo 15:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Ndipo umati mzima ukawa kimya, nao wakaanza kusikiliza Barnaba na Paulo wakisimulia ishara nyingi na mambo mengi ya ajabu ambayo Mungu alifanya kupitia kwao miongoni mwa mataifa.
-